Перейти к содержимому

#DODOMA: IBADA YA MISA SHEREHE YA PENTEKOSTE PAROKIA YA BIKIRA MARIA MSAADA WA WAKRISTO KIZOTA

PAROKO MEDIA

0:00 / 0:00

#DODOMA: IBADA YA MISA SHEREHE YA PENTEKOSTE PAROKIA YA BIKIRA MARIA MSAADA WA WAKRISTO KIZOTA

186 просмотров · 4 мес. назад
PAROKO MEDIA
1,23 тыс. подписчиков
186 просмотров · 4 мес. назад
Karibu kwenye Ibada ya Misa Takatifu ya Pentekoste ambapo ndani yake kuna vijana wanaoimarishwa kwa sakramenti ya kipaimara katika Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Wakristo Kizota Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, Ibada hii inaadhimishwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuuu Katoliki Doodoma Mhashau Baba Askofu Beatus Kinyaiya OFM Cap.