Перейти к содержимому

Zifahamu FAIDA za KUTII maelekezo ya KIUNGU!

PROPHET NICOLAUS SUGUYE

0:00 / 0:00

Zifahamu FAIDA za KUTII maelekezo ya KIUNGU!

6 791 просмотр · 6 л. назад
PROPHET NICOLAUS SUGUYE
80,7 тыс. подписчиков
6 791 просмотр · 6 л. назад
"Ndipo akashuka, akajichovya mara saba katika Yordani, sawasawa na neno lake yule mtu wa Mungu; nayo nyama ya mwili wake ikarudi ikawa kama nyama ya mwili wa mtoto mchanga, akawa safi." 2 Wafalme 5:14 Dhambi yoyote ni matokeo ya UASI na uasi wowote ni matokeo ya kukosa UTII. Katika historia ya uumbaji wa MUNGU kiumbe cha kwanza kukosa UTII ni shetani na malaika wachafu walio asi pamoja naye. Ndiyo maana Waraka wa kwanza wa Yohana 3:8 anasema "atendaye dhambi ni wa ibilisi......". Kwamba kila anayekosa UTII huyo anaingia katika miliki ya shetani japo kuwa kaumbwa na MUNGU. Share Your Testimony through Whatsapp Video on +255 673 117 117 Become a TV Partner with WRM TV click here ...http://wrm.or.tz/media/wrm-tv/wrm-tv-... CONTACT US: E-mail: info@wrm.or.tz #chief_prophet_suguye #wrmtv #startimes_119 #Azam_decoder_other_channel_007 #WRM_Radio_Online_https://s3.radio.co/s5f1f532c0/listen CLICK HERE TO GIVE INSTANTLY ONLINE WITH BANK CARD CRDB Bank Account Number: 0150386420200 A/C Name: The Word of Reconciliation Ministries Branch Code: 3391 Branch Name: Azikiwe Premier SWIFT CODE CORUTZTZ Or PAY FOR M-PESA CODE 5753340 NAME: The Word of Reconciliation Ministries or +255 763 813 307 TIGOPESA +255 655 448 116 AIRTEL MONEY +255 688 448 117