Перейти к содержимому

#TAZAMA| WANANCHI KITETO WATEMA CHECHE MGOGORO WA ARDHI, WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILIE KATI

Daily News Digital

0:00 / 0:00

#TAZAMA| WANANCHI KITETO WATEMA CHECHE MGOGORO WA ARDHI, WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILIE KATI

8 411 просмотров · 4 года назад
Daily News Digital
284 тыс. подписчиков
8 411 просмотров · 4 года назад
Baada ya serikali kupitia wizara ya Ardhi chini ya kamati ya Mawaziri 8 kutatua baadhi ya migogoro ya ardhi iliyokuwa katika wilaya ya kiteto na Simanjiro mkoani Manyara Wanakijiji wa vijiji viwili vya Irikioshi oibor na Kimotorock vilivyopo wilayani Kiteto na Simanjiro wameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kurudishiwa baadhi ya ardhi waliyodai kuwa yao. Kwa nyakati tofauti wananchi hao wameiyeleza Daily News Digital kuwa wamekuwa wakipitia kipindi kigumu cha mateso kutoka kwa mamlaka za ifadhi ya pori la akiba la mkungunero (TAWA ) NA TANAPA, Vile vile wananchi hao wameiyomba serikali kuwaundia sheria kamili ya kuishi maeneo hayo yaliyopakana na ifadhi hili kuepusha mkanganyiko hapo baadae. Serikali imefanikiwa kurudisha Ekari 4392 kwa kijiji cha kimotorock kilichopo Simanjiro kutoka katika ifadhi ya tarangire na kufanya mchakato shirikishi wa tathmini ya kubaini mipaka kati ya pori la akiba la mkongonero na kijiji cha Irikioshi oibor kwa ajili ya kuweka mipaka sahihi na elimu juu matumizi bora ya ardhi. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09