USIWEKEZE KWENYE HISA, UTT AMIS & BONDS BILA KUJUA MAMBO HAYA MUHIMU | EMILIAN BUSARA
Hamasika Tv
0:00 / 0:00
USIWEKEZE KWENYE HISA, UTT AMIS & BONDS BILA KUJUA MAMBO HAYA MUHIMU | EMILIAN BUSARA
33 909 просмотров · 3 месяца назад
Hamasika Tv
121 тыс. подписчиков
33 909 просмотров · 3 месяца назад
Je, unataka kuwekeza kwenye Hisa, Bonds au UTT lakini hujui pa kuanzia? Kwenye video hii, Emilian Busara anaelezea mambo muhimu unayopaswa kujua kabla ya kuanza uwekezaji. Utajifunza faida, hasara, makosa yanayofanywa na wengi, pamoja na mbinu za kufanya uwekezaji salama na wenye faida.
Kama unapenda elimu ya fedha, uwekezaji, biashara na kukuza kipato, hakikisha ume-subscribe na kuwasha notification ili usikose video mpya.
#Hisa #UTT #Uwekezaji #EmilianBusara #Biashara #Fedha #Investment #Tanzania