"NJOONI MEZANI": MAHUBIRI DOMINIKA YA 28 MWAKA A na Pd. DR. CAJETAN KAZI
HABARI NJEMA CHANNEL
0:00 / 0:00
"NJOONI MEZANI": MAHUBIRI DOMINIKA YA 28 MWAKA A na Pd. DR. CAJETAN KAZI
465 просмотров · 1 дн. назад
HABARI NJEMA CHANNEL
4,37 тыс. подписчиков
465 просмотров · 1 дн. назад
"Mungu akikuita, unafanya nini?"
Katika tafakari hii nzito ya Dominika ya 28 ya Mwaka A wa Kawaida (Tarehe 11 Oktoba 2026), Padre Dr. Cajetan Kazi kutoka Habari Njema Channel anatualika kutafakari mwaliko wa Mungu katika maisha yetu ya kila siku. Mungu hajanukuambia uende ukaandae chakula, anasema: "Nimeandaa. Njoo!"
Kupitia Somo la Kwanza (Isaya 25:6–10a), Zaburi ya 23, Barua ya Paulo kwa Wafilipi (4:12–14, 19–20) na Injili ya Mtakatifu Mathayo (22:1–14), tunapokea habari njema kwamba Mungu yupo pamoja nasi hata tunapopita kwenye mabonde ya uvuli wa mauti, na anataka tufute machozi yetu. Pia anatukumbusha kuwa na "vazi la harusi" – maisha yaliyobadilika na yanayomwonyesha Kristo.
Pia katika kipindi hiki, tunakumbuka kumbukumbu muhimu ya kufunguliwa kwa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatikano mnamo Tarehe 11 Oktoba 1962 na Papa Mtakatifu Yohane XXIII, ikitukumbusha kwamba Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote katika umri wowote.
📌 MAMBO 4 YAKUONDOKA NAYO LEO:
SIKIA: Usipuuze sauti na mwaliko wa Mungu.
ITIKA: Usiahirishe maisha ya kiroho kwa kusema "baadaye".
BADILIKA: Vaa vazi la harusi kwa kuishi upendo, msamaha na uaminifu.
SHIRIKI: Kitu kizuri kula na mwenzio – gawa upendo na tumaini kwa wengine.
🤝 TUSAIDIE KATIKA INJILISHAJI (MCHANGO):
Kazi hii ya uinjilishaji inahitaji ushirikiano wako. Tunahitaji TSh 4,700,000 kwa ajili ya kununua kamera mpya ili kuboresha viwango vya vipindi vyetu vya Habari Njema Channel.
Njia za Kuchangia:
🏦 NMB: 40310170888
📱 M-Pesa: 0756302642
👤 Jina: Isidor Paul Mbuya
Mchango wako wa kiasi chochote utasaidia sana kueneza Neno la Mungu!
🔔 USISAHAU:
Kusubscribe, kubonyeza alama ya kengele, kulike, kucomment na kushare video hii na ndugu au rafiki anayehitaji kufarijiwa na Neno la Mungu leo!
#HabariNjemaChannel #PdCajetanKazi #Dominikaya28 #NjooMezani #MahubiriYaLeo #KaramuYaBwana
🏷️
#HabariNjemaChannel #PdDrCajetanKazi #PdCajetanKazi #Dominikaya28 #MwakaA #NjooMezani #MahubiriYaLeo #NenoLaMungu #TafakariYaLeo #KaramuYaBwana #InjiliYaLeo #Mathayo22 #Isaya25 #Zaburi23 #Wafilipi4 #MunguAnakuita #MtagusoWaVatikano #PapaYohaneXXIII #MweziWaMaria #RozariTakatifu #BikiraMaria #KanisaKatoliki #Tanzania #MahubiriYaKatoliki #IbadaYaMisa #MisaTakatifu #NenoLaUzima #MafundishoYaDini #UpendoWaMungu #MunguNiMwema #MchungajiMwema #Sitapungukiwa #NyumbaYaBwana #UzimaWaMilele #MamboYoteKatikaKristo #ImaniKatoliki #InjiliNaAmani #KwaresmaNaDominika #AmaniYaMoyo #UjumbeWaLelo #FarajaYaMungu #MunguYupo #MachoziYatafutwa #MaishaYaImani #MkristoMwaminifu #VaziLaHarusi #KaramuYaMfalme #WokovuWaBwana #Matumaini #BarakaZaLeo #MaombiYaLeo #SalaNaTafakari #HabariNjema #SwahiliGospel #CatholicSwahili #SautiYaMungu #MwalikoWaMungu #Uinjilishaji #CatholicChurchTanzania #JimboKuu