Перейти к содержимому

MADHARA ya Kula Nyama Choma

Global TV Online

0:00 / 0:00

MADHARA ya Kula Nyama Choma

5 760 просмотров · 8 лет назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
5 760 просмотров · 8 лет назад
MADHARA ya Kula Nyama Choma Muda unaotumiwa katika kuandaa nyama nao unachangia katika kuzalisha kemikali zinazosababisha saratani ya utumbo inayosababishwa na nyama yakuchoma. Kemikali za amino huenea kwenye milimita chache za mzunguko wote wa kipande cha nyama kufuatana na hali ya nyama hiyo iliyochomwa, kukaangwa au kuokwa. Nyama ya kuchoma ndio yenye madhara makubwa zaidi kutokana na vile nyama hiyo inapochomwa kufukizwa na moshi wenye kemikali zenye vichocheo vya kusababisha ugonjwa wa saratani. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1    / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .