PART 03 - WIVU WANGU
Ankojay Simulizi
0:00 / 0:00
PART 03 - WIVU WANGU
8 202 просмотра · 11 часов назад
Ankojay Simulizi
169 тыс. подписчиков
8 202 просмотра · 11 часов назад
Sikuweza kumtazama kabisa Lucy, muda wote kichwa chini, ndipo Lucy aliniambia “nimekutafuta sana Kipenzi, ndipo nilipoambiwa upo hapa, nimefuata funguo za nyumbani kwangu na pia nahitaji funguo za dukani kwangu.”