JE, MAKABILA YOTE YA ISRAEL NDIYO CHIMBUKO LA WAAFRIKA?
BAYYINAT DM TV
0:00 / 0:00
JE, MAKABILA YOTE YA ISRAEL NDIYO CHIMBUKO LA WAAFRIKA?
802 просмотра · Трансляция закончилась 5 дней назад
BAYYINAT DM TV
45,1 тыс. подписчиков
802 просмотра · Трансляция закончилась 5 дней назад
Harakati za Nadharia Mbadala dhidi ya taifa la Israel imekuwa ikichukua sura mpya kila kukicha. Wako wanaosema kwa leo hakuna taifa duniani linaloitwa taifa la Israel, kwa sababu lilitoweka. Pia wako wanaosema leo hakuna Waisrael wa asili, bali wako Waisrael wa kiroho tu.
Wako WAAFRIKA wanaodai Waafrika wote ni uzao wa Yakobo yaani Israel.
Katika somo hili utajifunza Biblia, na Historia sahihi vinafundisha nini kuhusu madai hayo. Karibu tujifunze.