Перейти к содержимому

Jinsi ya Kupika Mchemsho wa Samaki na Ndizi.

life with Sophy

0:00 / 0:00

Jinsi ya Kupika Mchemsho wa Samaki na Ndizi.

25 535 просмотров · 2 года назад
life with Sophy
2,01 тыс. подписчиков
25 535 просмотров · 2 года назад
Mapishi Yana ujuzi tofauti tofauti kulingana na Kila mtu Jinsi anavyopenda na kuvutiwa na upishi wake... so napenda ku share nanyi njia rahisi sana ya Jinsi ya Kupika Mchemsho wa Samaki Aina ya sato. MAHITAJI .Samaki 1kg . Ndizi 3 . Kitunguu swaum . Tangawizi . Karoti . Hoho 1/2 .Pilipili ya kuwasha . spinach . Chumvi . Fish masala 1/2 kijiko . Black pepper ................................................................................................................................................ jinsi ya kupika mchemsho wa samaki, jinsi ya kupika mchemsho wa samaki na viazi, jinsi ya kupika mchemsho wa samaki na ndizi, jinsi ya kupika mchemsho wa samaki sato, namna ya kupika mchemsho wa samaki, jinsi ya kupika mchemsho, jinsi ya kupika mchemsho wa ndizi na samaki, mchemsho wa samaki, jinsi ya kuandaa mchemsho wa samaki, kupika mchemsho wa samaki, jinsi ya kupika samaki mchemsho ....................................................................................................................... #easyrecipe #mapishiyakiswahili #mapishirahisi #food #foodlover #africanfood #tanzanianyoutuber #samaki #fishsoup #fishrecipe