Перейти к содержимому

WAHOUTH WAIONYA MISRI KUINGILIA VITA NA SAUDI ARABIA - "WAMETANGAZA VITA" YATOA TAHADHARI KALI

Global TV Online

0:00 / 0:00

WAHOUTH WAIONYA MISRI KUINGILIA VITA NA SAUDI ARABIA - "WAMETANGAZA VITA" YATOA TAHADHARI KALI

539 просмотров · 1 час назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
539 просмотров · 1 час назад
WAHOUTH WAIONYA MISRI KUINGILIA VITA NA SAUDI ARABIA - "WAMETANGAZA VITA" YATOA TAHADHARI KALI Kundi la Wahouthi nchini Yemen kupitia afisa wake wa kisiasa, Mohammed Ali Al-Houthi, limetoa onyo kali kwa Misri kufuatia uamuzi wa bunge la nchi hiyo kuidhinisha msaada wa kijeshi kwa Saudi Arabia, wakidai hatua hiyo ni sawa na kutangaza vita dhidi ya Jamhuri ya Yemen. Wakati mvutano huo ukiendelea, maafisa wakuu wa kijeshi na kiusalama kutoka Saudi Arabia, Pakistan na Uturuki wameripotiwa kufanya mazungumzo na viongozi wa Iran ili kupunguza mivutano ya kiusalama katika ukanda wa Mashariki ya Kati. Tazama uchambuzi kamili hapa Global TV Online kufahamu undani wa mkataba wa ulinzi na mustakabali wa usalama wa ukanda huo. #GlobalTVOnline #HabariZaKimataifa #Wahouthi #SaudiArabia #Yemen ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com