Ndegwa Njiru: Hakuna uhasama kati ya wiper na Linda Mwananchi.
Radio Maisha
0:00 / 0:00
Ndegwa Njiru: Hakuna uhasama kati ya wiper na Linda Mwananchi.
2 335 просмотров · 20 ч назад
Radio Maisha
216 тыс. подписчиков
2 335 просмотров · 20 ч назад
Wakili Ndegwa Njiru amefafanua kuwa hakuna uhasama kati ya chama cha Wiper na kundi la Linda Mwananchi, akisisitiza kuwa tofauti za kisiasa hazimaanishi kuwepo kwa uhasama.
Je, kauli yake ina maana gani kwa mustakabali wa ushirikiano wa kisiasa nchini? Tazama mahojiano haya kwa undani na upate mtazamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini Kenya.