Huu Ndio Ukweli Wa Msamaha Wa Kweli…
Endson Mabamba
0:00 / 0:00
Huu Ndio Ukweli Wa Msamaha Wa Kweli…
469 просмотров · 2 мес. назад
Endson Mabamba
6,29 тыс. подписчиков
469 просмотров · 2 мес. назад
Je, kusamehe kunamaanisha kusahau? Je, ni lazima mtu akuombe msamaha ndipo umsamehe? Kwa nini watu wengi hubaki kwenye maumivu kwa miaka mingi bila kujua chanzo?
Katika somo hili utajifunza:
• Maana halisi ya msamaha kwa mtazamo wa kiroho na saikolojia.
• Kwa nini kusamehe ni kwa faida yako, si ya aliyekukosea.
• Kwa nini usisubiri mtu akuombe msamaha.
• Namna sahihi ya kuomba msamaha.
• Hatua za kusamehe kwa kweli.
• Faida za kiroho, kihisia na kiafya za msamaha.
Ukimaliza kutazama, andika kwenye maoni jambo moja ambalo umejifunza, shiriki video hii kwa wengine, na usisahau ku-subscribe ili kupata mafundisho mengine yenye kujenga maisha.
#Msamaha #Forgiveness #Biblia #Injili #Imani #Ukristo #NenoLaMungu #Saikolojia #AfyayaAkili #Healing #Uponyaji #Mahusiano #Hekima #Mafundisho #Maisha #Maendeleo #Ushindi #Gospel #Tanzania #Africa