Перейти к содержимому

Matangazo ya Leo #Afrika Septemba 15:Upinzani #DRC waandamana kupinga #Tshisekedi kurekebisha katiba

Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Afrika

0:00 / 0:00

Matangazo ya Leo #Afrika Septemba 15:Upinzani #DRC waandamana kupinga #Tshisekedi kurekebisha katiba

83 просмотра · 12 часов назад
Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Afrika
3,92 тыс. подписчиков
83 просмотра · 12 часов назад
Mamia ya wafuasi wa upinzani nchini DRC wameandamana kupinga marekebisho ya Katiba yanayodaiwa kulenga kurefusha muhula wa Rais Félix Tshisekedi madarakani. Kuna hofu ya uhaba wa bidhaa kutoka nje katika masoko ya Afrika, kufuatia kushambuliwa kwa meli za mizigo katika Ghuba ya Aden.