5.Namna ya kutumia end parameter kwenye python Day 5
Science & Code Hub
0:00 / 0:00
5.Namna ya kutumia end parameter kwenye python Day 5
42 просмотра · 6 дней назад
Science & Code Hub
86 подписчиков
42 просмотра · 6 дней назад
Karibu kwenye Day 5 ya kozi yetu ya Python Programming! 🚀
Katika video hii, tutaanza na marudio mafupi ya Siku ya 4, kisha tutaingia kwenye vitendo kujifunza kuhusu end parameter kwenye Python na jinsi inavyobadilisha mfumo wa ku-print matokeo yako kwenye Terminal.
📌 Utakachojifunza Siku ya Leo:
Marudio mafupi ya Day 4 (Print Statements & Comments)
Tabia ya default ya print() function kwenye Python
Jinsi ya kutumia end parameter kuzuia kuhamia mstari mpya
Kuunganisha maneno kwa kutumia space, koma, au alama yoyote
Mfano wa vitendo na zoezi fupi la kujaribu
💬 Jiunge na WhatsApp Channel Yetu:
Kupata updates, mafunzo zaidi, na kuwasiliana na jamii yetu, bofya hapa: https://chat.whatsapp.com/CqtKoRRtqJk...
👉 Usisahau ku-Like video hii, ku-Subscribe kwenye channel ya Science & Code Hub, na ku-Share na wenzako!
#Python #PythonEndParameter #PythonPrint #JifunzeCoding #PythonDay5 #ScienceAndCodeHub