CHINA YAIOMBA IRAN KUINGILIA KATI VITA YA WAHOUTH NA SAUDI ARABIA - MAPIGANO YAKISHIKA KASI
Global TV Online
0:00 / 0:00
CHINA YAIOMBA IRAN KUINGILIA KATI VITA YA WAHOUTH NA SAUDI ARABIA - MAPIGANO YAKISHIKA KASI
6 913 просмотров · 8 часов назад
Global TV Online
5,94 млн подписчиков
6 913 просмотров · 8 часов назад
CHINA YAIOMBA IRAN KUINGILIA KATI VITA YA WAHOUTH NA SAUDI ARABIA - MAPIGANO YAKISHIKA KASI
China imeiomba kwa siri serikali ya Iran kutumia ushawishi wake kwa kundi la Wahouthi nchini Yemen ili kupunguza mashambulizi na kusitisha kuenea kwa mapigano katika maeneo muhimu ya Bahari ya Shamu na Mlango wa Bab el-Mandeb, baada ya Saudi Arabia kuiomba Beijing iingilie kati kutokana na kuongezeka kwa mashambulizi na mafanikio ya kijeshi ya Wahouthi katika wiki iliyopita. Taarifa hiyo, iliyoripotiwa na Reuters ikinukuu vyanzo vitatu vya Iran vinavyofahamu mazungumzo hayo, inaonyesha kuwa Beijing imekuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa njia za biashara na usafirishaji wa nishati zinazopita katika eneo hilo.
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com