Перейти к содержимому

Muhtasari: 1 Petro

BibleProject - Kiswahili

0:00 / 0:00

Muhtasari: 1 Petro

3 025 просмотров · 5 лет назад
BibleProject - Kiswahili
4,23 тыс. подписчиков
3 025 просмотров · 5 лет назад
Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha 1 Petro, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Petro anatoa tumaini kwa Wakristo waliokuwa wanateswa na anawaongoza kupitia maagizo ya kiutendaji kuhusu kuishi maisha yanayodhihirisha kwamba wanamfuata Yesu. #BibleProject #Biblia #Petro Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA