Acid Reflux ni Kama Shetani. Fahamu Kiundani Ugonjwa wa Asidi Kurudi Kooni
Dr Nature
0:00 / 0:00
Acid Reflux ni Kama Shetani. Fahamu Kiundani Ugonjwa wa Asidi Kurudi Kooni
4 233 просмотра · 10 мес. назад
Dr Nature
225 тыс. подписчиков
4 233 просмотра · 10 мес. назад
Acid reflux ni mjanja—unakula tu chakula kizuri, ghafla moto unarudi kooni kama unateketeza. Katika video hii nafungua kila kitu bila kupindisha: chanzo halisi cha asidi kurudi, kwa nini dawa nyingi zinapooza tu dalili bila kutatua mzizi, na tiba sahihi inayoweza kukutoa kwenye mzunguko huu wa mateso. Hii ni elimu ya moja kwa moja, ya kukuweka huru.
****
Yusufu Mohamed Filemon, MD maarufu kama "Dr Nature" daktari wa binadamu kutoka chuo kikuu cha KCMC na mtaalamu wa tiba kwa chakula (homeopathist na naturopathist).
Anafanya kazi ya kuwasaidia watu kukinga na kutibu magonjwa kwa mtindo bora wa maisha. Katika channel hii ya youtube anafundisha dondoo mbalimbali zinazowasaidia wengi kurejesha afya zao.
**
SOCIAL MEDIA
Facebook: Dr Nature www.facebook.com/doktanature
Tiktok: www.tiktok.com/@doktanature
Instagram: Dr Nature www.instagram.com/doktanature
WEBSITE: www.doktanature.com
MAWASILIANO:
Simu/Whatsapp: +255-767-759-137
Email: real.dr.nature@gmail.com
Dar es Salaam, Tanzania