KESI YA UHAINI: HECHE KUENDELEA KUMTETEA LISSU
ITV Tanzania
0:00 / 0:00
KESI YA UHAINI: HECHE KUENDELEA KUMTETEA LISSU
7 815 просмотров · 2 дня назад
ITV Tanzania
1,37 млн подписчиков
7 815 просмотров · 2 дня назад
#HABARI: Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea leo Septemba 11, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, ikiwa katika hatua ya utetezi.
Shahidi wa tano wa utetezi, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, anaendelea kutoa ushahidi wake mbele ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru.
Endapo upande wa utetezi utamaliza kumuuliza maswali Heche, upande wa Jamhuri utaanza kumuuliza maswali ya dodoso.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg