Перейти к содержимому

Gharama Halisi za Kulima Heka 9 za Mahindi 🌽 | Tumetumia Tsh 3,134,000 Tu!

maco TV 🖥️

0:00 / 0:00

Gharama Halisi za Kulima Heka 9 za Mahindi 🌽 | Tumetumia Tsh 3,134,000 Tu!

10 337 просмотров · 8 мес. назад
maco TV 🖥️
8,7 тыс. подписчиков
10 337 просмотров · 8 мес. назад
📌 DESCRIPTION (YouTube) Katika video hii tumefanya kile ambacho wakulima wengi hawaonyeshi 👉 gharama halisi tulizotumia kulima heka 9 za mahindi kuanzia maandalizi ya shamba hadi kupanda. 📊 Jumla ya gharama zote: Tsh 3,270,000 🌽 Eneo lililol ✔️ Gharama za maandalizi ya shamba ✔️ Gharama za mbegu za mahindi ✔️ Gharama za mbolea ✔️ Gharama za kazi (labour) ✔️ Gharama nyingine muhimu ambazo wakulima wengi husahau Video hii ni muhimu sana kwa: ✅ Wakulima wanaopanga msimu mpya ✅ Wanaotaka kuingia kwenye kilimo cha mahindi ✅ Wanaofanya makadirio ya gharama (budgeting) ✅ Wawekezaji na agribusiness 👉 Kama unapenda kilimo cha ukweli, bila kuficha namba, subscribe MACO TV, like na share video hii. 🔖 HASHTAGS #KilimoChaMahindi #GharamaZaKilimo #MahindiTanzania #WakulimaTanzania #Agribusiness #FarmBudget #KilimoChaFaida #MACOTV #KilimoHalisi #Mavuno #FarmingReality