NYIMBO ZA KUABUDU | DEEPEST SWAHILI WORSHIP SONGS MIX.
Victor Tullo
0:00 / 0:00
NYIMBO ZA KUABUDU | DEEPEST SWAHILI WORSHIP SONGS MIX.
765 130 просмотров · 6 месяцев назад
Victor Tullo
18,9 тыс. подписчиков
765 130 просмотров · 6 месяцев назад
#SwahiliWorship #gospelmusic #christianmusic
Karibu usikilize mkusanyiko wa nyimbo za kuabudu zilizojaa uwepo wa Mungu. Nyimbo hizi za worship zitakusaidia kutulia mbele za Bwana, kumkaribisha Roho Mtakatifu na kujazwa amani ya Mungu. Ni muziki mzuri kwa maombi binafsi, kutafakari Neno la Mungu, au wakati wa ibada.
Acha moyo wako uinuliwe unapomsifu na kumwabudu Mungu kupitia nyimbo hizi zenye kugusa roho na kuleta faraja.
Usisahau Like, Comment na Subscribe ili kuendelea kupata nyimbo zaidi za kuabudu, maombi na muziki wa kumtukuza Mungu.
#VictorTullo #NyimboZaKuabudu #WorshipMusic #SwahiliWorship #KuabuduMungu #ChristianWorship #GospelMusic