Mwanamke Bomba | Tunamuangazia Gavana wa Kwale Fatuma Achani
Citizen TV Kenya
0:00 / 0:00
Mwanamke Bomba | Tunamuangazia Gavana wa Kwale Fatuma Achani
2 626 просмотров · 1 год назад
Citizen TV Kenya
6,68 млн подписчиков
2 626 просмотров · 1 год назад
Maandalizi yanazidi kunoga katika kaunti ya kwale ili kufanikisha sherehe za mashujaa zitakayofanyika Katika kaunti hiyo jumapili hii. Ni kaunti ambayo imeweka historia Eneo la pwani kwa kumchagua mwanamke wa kwanza kuwa Gavana.
Bila Shaka si mwengine ninaemzungumzia Bali ni Gavana Fatuma Achani ambaye hii ndiye anayetupambia makala yetu ya Mwanamke Bomba.