Перейти к содержимому

NG’OMBE 200 WAKAMATWA, WALA MBEGU za UTAFITI TARI, ZINA THAMANI ya ZAIDI ya MILIONI 600....

Global TV Online

0:00 / 0:00

NG’OMBE 200 WAKAMATWA, WALA MBEGU za UTAFITI TARI, ZINA THAMANI ya ZAIDI ya MILIONI 600....

1 222 просмотра · 3 года назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
1 222 просмотра · 3 года назад
NG’OMBE 200 WAKAMATWA, WALA MBEGU za UTAFITI TARI, ZINA THAMANI ya ZAIDI ya MILIONI 600.... Kituo cha utafiti wa kilimo cha TARI -ILONGA kilichopo Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro kimekamata zaidi ya ng’ombe mia mbili waliongizwa na wafugaji jamii ya kimasai katika vipando vya utafiti na kupelekea uharibifu katika mashamba hayo kaimu mkurugenzi TARI Ilonga Emanuel Shilagali amesema hi ni Mara ya tatu kufanyika kwa uharibu huo na kwamba kwa kipindi Cha miezi mwili wafugaji hao jamii ya kimasai waliingiza ng’ombe zao katika mifugo mazao ya utafiti Bado hasara kamili iliyotokana na uharibifu huo haijafamika lakini kwa Shamba la mahindi pekee gharama za awali zilizotokana na uzalishaji wa awali Ni zaidi ya milioni Mia sita themanini zimetumika. Wito kwa jamii za kifugaji kuachana na tabia ya kulisha ng’ombe zao katika mashamba ya serikal hii ni kutokana na kutumia gharama kubwa katika uzalishaji wa mbegu hizo . ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES   ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline