MCHIZI MOXIE - Ngoma ya Mikasi ya Ngwea ni Uandishi Wangu | Zamani Meseji Sana - (Part 1)
Bongo Project
0:00 / 0:00
MCHIZI MOXIE - Ngoma ya Mikasi ya Ngwea ni Uandishi Wangu | Zamani Meseji Sana - (Part 1)
2 686 просмотров · 4 года назад
Bongo Project
9,56 тыс. подписчиков
2 686 просмотров · 4 года назад
Taikun Ally almaarufu Mchizi Moxie ametutembelea leo Bongo Project kupiga story juu ya maisha yake ya muziki na maisha kwa ujumla. Anazungumzia alivyoanza muziki na kinyume na matarajio ya wengi familia yake ilimpa support kipindi ambacho mziki wa Bongo Fleva unaonekana kama uhuni. Amezungumzia kundi lao la Wateule lilivyoanza na uhusiano wake na maproducer bora katika muziki wa Bongo hususani Master Jay.
#mchizimoxie #mchizimox #bongoproject #bongoproject #wateule
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-102566415873260
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org