Перейти к содержимому

MWANAMKE AKISIMAMA, JAMII IMEBARIKIWA | North Mara Field Women’s Ministries | 6 Oktoba 2026 Asubuhi

Ellen singers

0:00 / 0:00

MWANAMKE AKISIMAMA, JAMII IMEBARIKIWA | North Mara Field Women’s Ministries | 6 Oktoba 2026 Asubuhi

454 просмотра · Трансляция закончилась 14 часов назад
Ellen singers
19,2 тыс. подписчиков
454 просмотра · Трансляция закончилась 14 часов назад
MWANAMKE AKISIMAMA, JAMII IMEBARIKIWA 🌸 Karibu katika mkutano maalum wa Idara ya Huduma za Wanawake wa Kanisa la Waadventista wa Sabato – North Mara Field, unaofanyika katika Viwanja vya Kanisa la Sabasaba SDA. 🎙️ Mnenaji Mkuu: Prof. Pendo Salu Malangwa 📖 Fungu Kuu: Esta 4:14 🎵 Wimbo Mkuu: Namba 204 📅 Tarehe: 4 Oktoba 2026 📍 Mahali: Viwanja vya Kanisa la Sabasaba SDA Katika kipindi hiki, tunatafakari nafasi ya mwanamke katika familia, kanisa na jamii, tukikumbushwa kwamba kila mwanamke ana nafasi na kusudi katika mpango wa Mungu. Wageni na wataalamu mbalimbali wa afya watakuwepo kwa ajili ya kutoa elimu na kushirikiana na washiriki katika masuala muhimu ya afya na ustawi. 👩🏽 WASHIRIKI / WAZUNGUMZAJI Bhoke Burure – Mkurugenzi Idara ya Huduma za Wanawake Bahati Kaitira – Malezi Suzana Malengo – Idara Suleiman Daniel – Usijamii Pr. Isack Reuben – Mkurugenzi wa WAWKI NMF Prof. Pendo Salu Malangwa – Mnenaji Mkuu 🙏 Tazama, shiriki na usambaze ujumbe huu ili kuwafikia wanawake, familia na jamii kwa ujumla. “KWA MAANA UKINYAMAZA KABISA WAKATI HUU, NDIPO KUTAKAPOWATOKEA WAYAHUDI MSAADA NA WOKOVU KWA NJIA NYINGINE...” – Esta 4:14 👍 Like | 💬 Comment | 🔔 Subscribe | 📲 Share 🔖 Hashtags #MwanamkeAkisimama #JamiiImebarikiwa #NorthMaraField #WomenMinistries #SDAWomen #Waadventista #SDA #KanisaLaWaadventista #ProfPendoSaluMalangwa #HudumaZaWanawake #WanawakeWaSDA #Esta414 #MkutanoWaWanawake #SabasabaSDA #WomenOfGod #AdventistWomen #TanzaniaSDA #FaithAndFamily #ChristianWomen #GodsPurpose