Перейти к содержимому

EPISODE 06: USIANZE DIGITAL MARKETING KABLA YA KUTAZAMA HII, TANGU 1999 NATUMIA NIPO NAFANYA

Joel Media

0:00 / 0:00

EPISODE 06: USIANZE DIGITAL MARKETING KABLA YA KUTAZAMA HII, TANGU 1999 NATUMIA NIPO NAFANYA

1 608 просмотров · 2 г. назад
Joel Media
18,8 тыс. подписчиков
1 608 просмотров · 2 г. назад
USIMAMIZI WA KUJIFUNZA GRAPHICS & VIDEO C CREATION KUTOKA BONYEZA LINK HAPA 👉🏽 : https://rb.gy/aj50eb AU TUPIGIE +255 27 150 780 Je Unahitaji Kujifunza Graphics na Video Content Creation Jisajili Hapa: Huwezi Kuizngumzia Digital Marketing Tanzania bila kuzungumzia mchango mkubwa mbao Gillsaint ameutoa mbali na pontential aliyonayo, uzoefu na mafaniko makubwa Gilsant amekua humble na yuko tayari kushare na kufundisha vijana wengi sana Kuwa na Uwezo mkubwa katika taaluma fulani sio story kubwa, ukubwa wa story ni pale unapoamua kuwa daraja la watu wengine kufikia ndoto zako kwa kuwasimamia na kuwapta ujuzi uliona, Hiki ndicho alichoamua kukifanya Gilsaint Mlasekwa Digital Marketer mwenye uzoefu mkubwa wa zaidi ya miaka 25 katika masuala ya Digital marketing Huku akiwa na agency yake ambayo inafanya kazi na Kampuni kubwa Nchini Nbc, Tigo, KCB nk. Ungana nami katika Episode hii ya 6 ujifunze kuhusu safari yake na pengine hata wewe unaweza Kujifunza zaidi na kuhamasika Dondosha maoni yako katika sehemu ya comment, share na wengine wajifunza, like na Subscribe ili uendelee kujifunza zaidi kupitia chaneli yetu. Gillsaint Social Instagram:   / gillsaint   Twitter:   / gillsaint   META CERTIFICATION:   / certification   Google: https://grow.google/intl/ssa-en/cours... Follow me on Instagram: https://bit.ly/3s2ca2z Facebook​: https://bit.ly/48ZjYTc Email: info@joelmediaeducation.com