Перейти к содержимому

LIVE | JUMA LA MAOMBI 2025 | “MISSION MEANS ME” – Siku ya Kwanza | Mch. Elisha Juma | Mwenge SDA

Kpdream Music

0:00 / 0:00

LIVE | JUMA LA MAOMBI 2025 | “MISSION MEANS ME” – Siku ya Kwanza | Mch. Elisha Juma | Mwenge SDA

38 просмотров · Трансляция закончилась 11 мес. назад
Kpdream Music
2,67 тыс. подписчиков
38 просмотров · Трансляция закончилась 11 мес. назад
Karibu katika Juma la Maombi 2025 likiwa na kaulimbiu “Mission Means Me”, likifanyika Mwenge SDA Church. Leo ni siku ya kwanza, na tunasikiliza ujumbe wa Mungu kupitia Mchungaji Elisha Juma, akitukumbusha kwamba kila Mkristo ameitwa kuwa sehemu ya utume wa Kristo. 🌿 Hili ni juma la kutafakari, kuomba, na kujitafutia uhusiano wa karibu na Mungu. Ujumbe huu utakutia nguvu, utakutia moyo, na utakukumbusha wajibu wako katika kazi ya Mungu. 🙏 Usikose kujiunga nasi kila siku LIVE hapa Bukelebe TV! 👉 Kwa ushauri, au maoni kuhusu matangazo yetu, tafadhali wasiliana nasi kupitia: 📞 0767 676 793 | WhatsApp: +255 673 960 509 #MissionMeansMe #JumaLaMaombi2025 #MwengeSDAChurch #MchElishaJuma #BukelebeTV #SDAChurch #Adventist #SDAWorship #PrayerWeek #GospelLive #SDAFamily #BukelebeNgelela