Watu wale walipoteza maisha yao walipokuwa wakielekea Subukia Kwa maombi
Undugu TV
0:00 / 0:00
Watu wale walipoteza maisha yao walipokuwa wakielekea Subukia Kwa maombi
22 просмотра · 1 день назад
Undugu TV
11,3 тыс. подписчиков
22 просмотра · 1 день назад
Watu 17 wamepoteza maisha yao katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Mombasa katika eneo la Salama walipokuwa wakielekea Subukia Kwa maombi.
Imebainikia kuwa trela ilipoteza mwelekeo na kugonga gari kadhaa .Miili yao ikipelekwa katika makafani ya Sultan Hamud.