Перейти к содержимому

#LIVE| Mwabukusi Anaongoza Kongamano La Kitaifa Dhidi ya Matukio ya Kupotea Kwa Raia Nchini Tanzania

The Chanzo

0:00 / 0:00

#LIVE| Mwabukusi Anaongoza Kongamano La Kitaifa Dhidi ya Matukio ya Kupotea Kwa Raia Nchini Tanzania

33 710 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
The Chanzo
261 тыс. подписчиков
33 710 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
Karibu katika matangazo yetu ya moja kwa moja ya Kongamano la Kitaifa linaloangazia tatizo la kupotea kwa raia nchini Tanzania. Tukio hili muhimu linasimamiwa na Tanganyika Law Society (TLS) kwa lengo la kuzungumzia changamoto hii inayoathiri jamii na haki za binadamu nchini. Katika kongamano hili, wataalamu, wanasheria, wanaharakati wa haki za binadamu, pamoja na waathirika wa matukio haya watatoa maoni yao. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.