Takwimu za mechi ya Kariakoo Derby; Simba SC yatawala maeneo mengi uwanjani.
Azam TV
0:00 / 0:00
Takwimu za mechi ya Kariakoo Derby; Simba SC yatawala maeneo mengi uwanjani.
6 045 просмотров · 3 часа назад
Azam TV
3,32 млн подписчиков
6 045 просмотров · 3 часа назад
VIWANJANI: Wachambuzi wa soka Jabir Aziz , Godlisten Muro na Evans Mallya wametoa tathmini yao kuhusu takwimu za mechi ya Kariakoo Derby ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa Oktoba 10, 2026 ambapo Simba SC iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya mpinzani wake.
Azam TV