Перейти к содержимому

JESHI LA IRAN LAILIPUA MELI KUBWA YA GESI YA PETROLI HORMUZ - LAAPA KUSIMAMIA USALAMA WA ENEO HILO

Global TV Online

0:00 / 0:00

JESHI LA IRAN LAILIPUA MELI KUBWA YA GESI YA PETROLI HORMUZ - LAAPA KUSIMAMIA USALAMA WA ENEO HILO

21 649 просмотров · 1 дн. назад
Global TV Online
5,96 млн подписчиков
21 649 просмотров · 1 дн. назад
JESHI LA IRAN LAILIPUA MELI KUBWA YA GESI YA PETROLI HORMUZ - LAAPA KUSIMAMIA USALAMA WA ENEO HILO Iran imedai kuishambulia meli kubwa ya kusafirisha gesi ya petroli iliyoyeyushwa (LPG), iitwayo NV Sunshine na inayomilikiwa na kampuni ya NatWit, baada ya meli hiyo kujaribu kupita katika njia ambayo Tehran imeitaja kuwa haramu kusini mwa Mlango wa Hormuz. Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran limesema shambulizi hilo lilifanyika wakati vikosi vyake vikiendelea kusimamia usafiri wa majini katika eneo hilo muhimu la Mashariki ya Kati. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com