DOSARI EPISODE 49
Brenda Malembeka TV
0:00 / 0:00
DOSARI EPISODE 49
1 225 просмотров · 4 ч назад
Brenda Malembeka TV
9,26 тыс. подписчиков
1 225 просмотров · 4 ч назад
Malik anamshangaza Bianca, Kenzo anakuja na mpango kabambe wa kuwaangusha Jabari na Akida wakati huohuo Queen anasuka mpango wa kumkamata adui wake wa tatu, je ni mpango upi huo? Fuatilia Dosari Episode 49.
Boss wangu kama umependa na kuguswa na kazi hii na ungependa kunisaidia niendelee kukuletea vipindi bora zaidi, naomba unichangie kupitia namba za;
MPESA
Namba: 0749069396
Jina: BRENDA MALEMBEKA
au
CRDB
Namba: 10530631667
Jina: BRENDA MALEMBEKA
Kiasi chochote utachotoa kitasaidia kuleta vipindi bora zaidi.
Asante sana na Mungu akubariki sana.
#brendamalembekatv #dosari