Перейти к содержимому

#16 Dua: Sababu Kubwa ya Kuondosha Mabalaa na Kupata Matarajio || Sheikh Ahmed Mwinjuma

Zad Foundation Tanzania

0:00 / 0:00

#16 Dua: Sababu Kubwa ya Kuondosha Mabalaa na Kupata Matarajio || Sheikh Ahmed Mwinjuma

276 просмотров · 2 нед. назад
Zad Foundation Tanzania
727 подписчиков
276 просмотров · 2 нед. назад
Je, unahangaika kutafuta njia ya kuondoa mitihani na kufikia malengo yako? Silaha kuu iko mikononi mwako! 🤲🏽 Hata ukikabiliwa na dhiki kubwa au jambo zito namna gani, Dua inabaki kuwa miongoni mwa sababu zenye nguvu zaidi za kuondoa mabalaa na kuleta kheri unazozitamani. Katika Episode hii ya 16 Sheikh Ahmed anafafanua namna Dua inavyobeba nguvu ya kubadilisha hali ya mja na kumfungulia milango ya faraja.