Перейти к содержимому

Kanja kuamriwa kufika kortini kwa kutotii amri

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Kanja kuamriwa kufika kortini kwa kutotii amri

5 805 просмотров · 6 часов назад
Citizen TV Kenya
6,68 млн подписчиков
5 805 просмотров · 6 часов назад
Mahakama imemuamuru Inspekta Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja, kufika mahakamani tarehe 28 ya mwezi huu ili kuhukumiwa kwa kukosa kufuata amri ya mahakama. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya idara ya polisi kupatikana na hatia ya kuweka vizuizi barabarani jijini Nairobi wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya maandamano ya Gen Z mwaka jana.