HII NDIYO "KAZI IENDELEE” ya RAIS SAMIA - MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA...🥺👍
Global TV Online
0:00 / 0:00
HII NDIYO "KAZI IENDELEE” ya RAIS SAMIA - MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA...🥺👍
7 472 просмотра · 15 часов назад
Global TV Online
5,92 млн подписчиков
7 472 просмотра · 15 часов назад
HII NDIYO "KAZI IENDELEE” ya RAIS SAMIA - MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA...
Jiji la Dar es Salaam la leo si sawa na lile la miaka 10 iliyopita. Limebadilika kwa kiasi kikubwa, hususan katika miundombinu ya barabara, ambayo imeendelea kuboreshwa na kupanuliwa. Baada ya kifo cha ghafla cha Hayati John Pombe Magufuli, aliyeanzisha na kusimamia miradi mingi ya barabara nchini, mrithi wake, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, alichukua dhamana ya kuendeleza miradi hiyo na kuanzisha mingine mipya.
Hapo ndipo ilipoibuka kauli mbiu ya *“KAZI IENDELEE.”* Na leo, ukiangalia mabadiliko yanayoendelea kulipamba Jiji la Dar es Salaam, *mwenye macho haambiwi tazama!* 🔥🇹🇿
#KaziIendelee #DarInawaka #Tanzania
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com