MWILI, NAFSI NA ROHO | MWANADAMU KAMILI | WOKOVU KAMILI
BEST ELISA KATUNZI
0:00 / 0:00
MWILI, NAFSI NA ROHO | MWANADAMU KAMILI | WOKOVU KAMILI
122 просмотра · 8 мес. назад
BEST ELISA KATUNZI
921 подписчик
122 просмотра · 8 мес. назад
Je, unajua tofauti kati ya mwili, nafsi na roho ya mwanadamu?
Katika somo hili lenye kufungua macho, utajifunza maana halisi ya kuwa mwanadamu kamili na jinsi wokovu wa Kristo unavyogusa sehemu zote tatu za maisha yako.
📖 Mafundisho haya yamejengwa juu ya msingi wa Neno la Mungu.
👉 Usisahau LIKE, COMMENT na SUBSCRIBE kwa mafundisho zaidi yenye kujenga imani.