Перейти к содержимому

MAHOJIANO NA AI | YATOA ANGALIZO

Mtangazaji

0:00 / 0:00

MAHOJIANO NA AI | YATOA ANGALIZO

446 просмотров · 1 месяц назад
Mtangazaji
29,8 тыс. подписчиков
446 просмотров · 1 месяц назад
Katika mahojiano haya mafupi ninazungumza na Akili Unde (AI) ya ChatGPT. Ni nani, uwezo wake wa kuwasiliana kwa Kiswahili, na namna maarifa ya AI yanavyoweza kutumika kuboresha maisha na kazi za watu barani Afrika. Tunagusia pia fursa za AI katika elimu, biashara, ubunifu, pamoja na umuhimu wa kukuza matumizi ya AI katika kukuza Kiswahili pia teknolojia hii inavyopaswa kuboresha sekta mbalimbali Afrika.#AkiliTalk #AIPodcast #AIMahojiano #AIInSwahili #SautiNaAkili #TechTalkAfrica #DigitalAfrica #AIForEveryone #AIMustakabali #KiswahiliTech #AIInnovation #futurevoices