Перейти к содержимому

PASTOR KAMGISHA // IBADA YA KUANZA MWEZI SEPTEMBER

HABARI NJEMA

0:00 / 0:00

PASTOR KAMGISHA // IBADA YA KUANZA MWEZI SEPTEMBER

194 просмотра · Трансляция закончилась 11 дней назад
HABARI NJEMA
10,7 тыс. подписчиков
194 просмотра · Трансляция закончилась 11 дней назад
Kuinuka tena na kutembea katika neema ya Mungu! Karibu tuanze Mwezi wa 9 katika uwepo wa Mungu! Mwezi mpya ni nafasi mpya, mwanzo mpya na wakati mwingine Mungu anafungua mlango mpya ambao haujawahi kuuona. Usiruhusu kuingia katika mwezi huu bila maombi, ibada na Neno la Mungu! Katika Ibada hii, tutamwabudu Mungu, tutasikia Neno lake na kuomba kwa ajili ya: 1. Ulinzi wa Mungu katika mwezi huu 2. Kuvunjwa kwa vikwazo na mipango mibaya 3. Mafanikio katika kazi, biashara, familia na huduma 4. Kuingia katika kusudi na mpango wa Mungu 🙏 Huu ni mwezi wa kuanza upya, kuinuka tena na kutembea katika neema ya Mungu! 👉 Jiunge nasi katika ibada, njoo na moyo wa imani, na umruhusu Mungu aanze nawe jambo jipya! 👉 Like | Share | Subscribe 🔔 Washa kengele ili usikose mafundisho, maombi na ibada nyingine zenye kubadilisha maisha. #Maombi #Maombezi #Prayer #Christianity #Jesus #HolySpirit #Deliverance #Revival #Worship #Faith #Bible #Gospel #KingdomOfGod #UtawalaWaMungu #Uamsho #Ibada #NguvuYaMaombi #LivePrayer #Miracle #Breakthrough