Перейти к содержимому

YESU YUAJA by Anoited Ken (Official Video)

Heaven access voices

0:00 / 0:00

YESU YUAJA by Anoited Ken (Official Video)

574 просмотра · 9 дней назад
Heaven access voices
267 подписчиков
574 просмотра · 9 дней назад
Karibu kwenye video rasmi ya kwanza kabisa kutoka kwa Anointed Kennedy, "YESU YUAJA"."YESU YUAJA" ni wimbo wa injili wenye mguso wa kipekee na ujumbe mzito unaotukumbusha kuhusu marejeo ya Bwana wetu Yesu Kristo. Kupitia wimbo huu, Anointed Kennedy anakualika kutafakari, kutubu, na kuandaa moyo wako kwa ajili ya siku hiyo kuu. Huu ni mwanzo wa safari yake ya huduma ya uimbaji kwa njia ya video.Hakikisha umesubscribe, umelike, na umeshare video hii ili kueneza injili na kuwabariki wengine. Kaa tayari kubarikiwa!