13.String Methods and Formated String Literals(F string) Somo la 13
Science & Code Hub
0:00 / 0:00
13.String Methods and Formated String Literals(F string) Somo la 13
42 просмотра · 6 дней назад
Science & Code Hub
138 подписчиков
42 просмотра · 6 дней назад
Karibu kwenye Day 13 ya kozi yetu ya Python Programming! 🚀
Katika somo hili, tunaendelea na mada ya Strings kwa kuangalia mbinu za kitaalamu za ku-format na ku-manipulate maandishi. Tutajifunza String Methods maarufu, njia za kuunganisha maandishi (String Concatenation), na matumizi ya f-strings (Formated String Literals) ambayo ni njia ya kisasa na ya haraka zaidi katika Python.
📌 Utakachojifunza Siku ya Leo:
String Methods Kuu: Matumizi ya .upper(), .lower(), .strip(), .replace(), .split(), na .find()
String Concatenation: Kuunganisha string mbili au zaidi ukitumia operator ya +
Matatizo ya Concatenation: Kwa nini huwezi kuunganisha String na Integer moja kwa moja bila Type Casting
f-strings (Formatted Strings): Jinsi ya kuweka variables na expressions ndani ya string kwa urahisi ukitumia f"..."
Mifano ya Vitendo: Kuandika kodi yenye muonekano safi na yenye ufanisi kwenye VS Code
💬 Jiunge na WhatsApp Channel Yetu:
Kupata updates, mafunzo zaidi, na kuwasiliana na jamii yetu, bofya hapa: https://chat.whatsapp.com/CqtKoRRtqJk...
👉 Usisahau ku-Like video hii, ku-Subscribe kwenye channel ya Science & Code Hub, na ku-Share na wenzako!
#Python #StringMethods #StringConcatenation #FStrings #PythonFormatting #JifunzeCoding #PythonDay13 #ScienceAndCodeHub #TechSwahili