Перейти к содержимому

Wanging'ombe Wilaya yenye FURSA Nyingi Zaidi. Ded Maryam Muhaji afunguka

Ngasa Tv

0:00 / 0:00

Wanging'ombe Wilaya yenye FURSA Nyingi Zaidi. Ded Maryam Muhaji afunguka

1 714 просмотров · 3 года назад
Ngasa Tv
120 тыс. подписчиков
1 714 просмотров · 3 года назад
Wilaya ya Wangingombe inayopatikana mkonani njombe ni moja kati ya Wilaya zenye fursa nyingi sana ndani yake Utalii Kilimo Madini Ni miongoni mwa fursa zinazopatikana wilayani hapa Ngasa tv tumefunga safari kutoka mkoani dodoma mpaka wilayani hapa kujionea fursa mbali mbali zipatikanazo wilayani hapa Zote hizi zikiwa ni juhudi za Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh samia suluhu hasaan akisaidiwa na Mkurugenzi wa wake mh Mariam Muhamed Muhaji. Tumejionea Madarasa , vituo vya afya, shule za sekondari, na za msingi, pamoja na vitu vingine vingine katika wilaya hii ya waging'ombe … karibu sana mkoani njombe wilaya CC @wangingombedc @uvccm_wangingombe⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    / playlist   list=PLSzTdjtfFZV4x9eEn8XKjtHMqu5fkevjb ⚫️ BUNGENI DODOMA:   / watch   v=0tOC0Qdxizc&list=PLSzTdjtfFZV6DoniR7GGw1_I0dWOzx01B ⚫️ SIASA :   • Видео   Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kama unahitaji kufanya Matangazo au Habari yoyote ya KIJAMII Tafadhali wasiliana na Sisi Kupitia 0716909567 Tunawapa kipaumbele kwa waliopo Dodoma ngasamedia@gmail.com WhatsApp: +255 716909567 Call us : +255 716909567 thank you for watching this video ,please leave a like if you enjoyed the video & Subscribe for more video. #sensa #jitokezekuhesabiwa #ngasatv