YESU AMENIOKOA, FR GUERSCHOM MALOBA(cover Alice mutatuke). AUDIO OFFICIEL.
GUERSCHOM MALOBA OFFICIEL
0:00 / 0:00
YESU AMENIOKOA, FR GUERSCHOM MALOBA(cover Alice mutatuke). AUDIO OFFICIEL.
4 391 просмотр · 1 год назад
GUERSCHOM MALOBA OFFICIEL
2,35 тыс. подписчиков
4 391 просмотр · 1 год назад
1. Yesu ameniokoa, amenipa utulivu. Kawake Ninaona Raha, ninataka kumsifu
haleluya, haleluya! nimefika bandarini. haleluya haleluya! Jina lake ni mnara
2. kwa furaha ninaimba wimbi mpya WA WOKOVU. nisichoke kamwe hapa kumwimbia mukombozi !
3. Ni habari za nehema za kupasha pande zote. Muhubiri, enda mbio kufikia nchi zote !
4. Yesu, Siku nita'kufa na maisha ni tayari, nichukue kwako juu penye Raha ya mile
MITHALI 18:10