Перейти к содержимому

Injili karioko Nairobi | Biblia nuru ya Dunia

BIBLIA NURU YA DUNIA

0:00 / 0:00

Injili karioko Nairobi | Biblia nuru ya Dunia

15 125 просмотров · 5 л. назад
BIBLIA NURU YA DUNIA
82,6 тыс. подписчиков
15 125 просмотров · 5 л. назад
Injili karioko Nairobi... Imedaiwa miongoni mwa wajumapili kwamba Yesu alipofufuka siku ya Jumapili, na Roho Mtakatifu aliposhuka siku ya Jumapili katika Pentekoste, kwa kitendo hicho Yesu aliitakasa jumapili ili watu wake badala ya kutunza Jumamosi waanze kutunza Jumapili. Lakini kama ukirudi katika Maandiko na kuangalia kwa makini, hautaona mahali popote ambapo Yesu Mwenyewe au mtakatifu yeyote amesema kwamba Jumapili ilitakaswa na kubarikiwa. Nataka kuvuta usikivu wako tuchunguze kwa makini katika Biblia ili tuone ni siku gani ambayo Yesu alitakasa. Na Je Yesu alitakasa Jumapili?