Somo la 6: C++ Variables Ni Nini? Jinsi ya Kutengeneza na Kuzitumia Hatua kwa Hatua
NIFUNZE TECH
0:00 / 0:00
Somo la 6: C++ Variables Ni Nini? Jinsi ya Kutengeneza na Kuzitumia Hatua kwa Hatua
6 просмотров · 8 дней назад
NIFUNZE TECH
223 подписчика
6 просмотров · 8 дней назад
Karibu tena hapa Nifunze Tech! Kwenye somo hili la sita la mfululizo wetu wa C++ Programming, tunaenda kujifunza kuhusu Variables na jinsi ya kuzitumia kuhifadhi taarifa kwenye programu zako.
Variable ni kama "sanduku" au "container" la kuhifadhia taarifa za aina mbalimbali kama vile namba, majina, au alama wakati program yako inaendelea running. Kujua jinsi ya kuzitengeneza na kuzitumia ni msingi mkuu wa uandishi wa programu zote duniani.
💡 Hili ni somo ambalo litakupa uwezo wa kuanza kutengeneza programu zinazoweza kubadilika na kushika taarifa mbalimbali kwa ufanisi!
🔔 Hakikisha una-SUBSCRIBE, ku-LIKE, na kuacha maoni yako hapo chini kama kuna sehemu inahitaji ufafanuzi zaidi. Twende pamoja kielimu! 💻🔥
#NifunzeTech #CPlusPlusVariables #ProgrammingKiswahili #CodingTZ #CPlusPlusTutorial #Teknolojia