Перейти к содержимому

Elishadai Choir AMANI ITAWALE Official Audio

KWAYA YA ELISHADAI - KANISA LA UINJILISTI IKUKWA

0:00 / 0:00

Elishadai Choir AMANI ITAWALE Official Audio

99 просмотров · 2 нед. назад
KWAYA YA ELISHADAI - KANISA LA UINJILISTI IKUKWA
8 подписчиков
99 просмотров · 2 нед. назад
Tunapoendelea kuishi huku tukimpendeza Mungu tukumbuke kuomba AMANI kwani ni moja ya ahadi ambayo Yesu Kristo alituachia BWANA MUNGU atusaidie ili tuendelee kudumisha Amani Ulimwenguni kote. Wakolosai 3:15 "Nayo amani ya Kristo itawale mioyoni mwenu; maana kwa ajili hiyo nyinyi mmeitwa katika mwili huo mmoja. Tena muwe na shukran". ELISHADAI CHOIR Tunaomba Amani iendelee kutawala mioyoni mwenu tukiishi kwa Upendo na kumpendeza Mungu. AMEN