Перейти к содержимому

DC SURUMBU AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI TARIME MJI

tarime tc

0:00 / 0:00

DC SURUMBU AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI TARIME MJI

65 просмотров · 2 года назад
tarime tc
72 подписчика
65 просмотров · 2 года назад
Mkuu wa wilaya ya Tarime Mhe. Kanali Maulid Hassan Surumbu amewaongoza Watumishi, wananchi pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Magena iliyopo kata ya Nkende Halmashauri ya Tarime kwenye zoezi la upandaji miti katika siku ya maadhimisho ya upandaji miti kitaifa Aidha, Mhe Maulid amezitaka kila kaya katika Wilaya Tarime kupanda miti sita ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya upandaji miti kitaifa