Перейти к содержимому

| NYAYO ZA MEKATILILI | Mekatilili wa Menza aliongoza Wapwani kupinga ukoloni

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

| NYAYO ZA MEKATILILI | Mekatilili wa Menza aliongoza Wapwani kupinga ukoloni

19 012 просмотров · 6 л. назад
Citizen TV Kenya
6,7 млн подписчиков
19 012 просмотров · 6 л. назад
Ni miaka 56 sasa tangu Kenya kuwa jamhuri na taifa halijasahau mashujaa walionyakua utawala kutoka kwa muingereza. Katika ukanda wa pwani, hususan jamii ya wagiryama, mekatilili wa menza anaenziwa kwa kueneza jumbe za kumfurusha mkoloni kwa ngoma. #Jamhuri #MekatililiWaMenza