Перейти к содержимому

Dr. Chris Mauki: Unapokuwa na hasira kali, Jiulize mambo haya matatu

Chris Mauki

0:00 / 0:00

Dr. Chris Mauki: Unapokuwa na hasira kali, Jiulize mambo haya matatu

10 244 просмотра · 3 года назад
Chris Mauki
381 тыс. подписчиков
10 244 просмотра · 3 года назад
Hasira imewaponza wengi. Hasira imewapeleka wengi gerezani. Hasira imevunja urafiki wa wengi. Hasira imeharibu mahusiano ya wengi. Labda hata wewe ni mhanga wa hasira kali, na kama bado basi somo hili ni lako ili usije kujutia. Unapokuwa na hasira kali, jiulize mambo haya matatu.