Перейти к содержимому

SWALI TATA LINAJIBIWA. JE, NI LAZIMA KUOA/KUOLEWA?❤️🔥 | UKIWA NA VIGEZO HIVI USIOE. ~ Pr. Peter John

Hub of Wisdom Inc.

0:00 / 0:00

SWALI TATA LINAJIBIWA. JE, NI LAZIMA KUOA/KUOLEWA?❤️🔥 | UKIWA NA VIGEZO HIVI USIOE. ~ Pr. Peter John

60 935 просмотров · 10 месяцев назад
Hub of Wisdom Inc.
137 тыс. подписчиков
60 935 просмотров · 10 месяцев назад
Je, ni lazima kuoa au kuolewa? ❤️ Pr. Peter John anaeleza kwa undani vigezo vya kweli vya ndoa bora, na kwanini si kila mtu anatakiwa kuingia kwenye ndoa mpaka awe tayari kiakili, kihisia na kiroho. "Ni hiari, ndio maana aliyeanzisha ndoa mwenyewe hakuoa. Kwa mantiki hiyo kumbe ndoa sio kila kitu kwenye maisha yetu, ingawa jamii inasukuma lakini ndoa sio lazima." Anasema Pr. John Peter "Lakini ukishasema 'mimi sioi.' basi na kunanilii pia usinanilii. Kwasbabu kinachotofautisha mahusiano ya ndoa na mahusiano mengine yote ni kunanilii." 💡 Video hii itakufungua macho kuhusu maamuzi ya maisha, upendo wa kweli na hekima ya kuchagua mwenzi sahihi. Shiriki mijadala hii na mingine mingi katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media ....................................................................... #PrPeterJohn #Mahusiano #Ndoa #Love #Wisdom #LifeTalks #Tanzania #PrPeterJohn #Ndoa #TendoLaNdoa #Imani #Uumbaji #MafundishoYaNdoa #ElimuYaNdoa #Sex #Maisha #Mafundisho #ShuhudaZaKutisha #MchKimaro #Motivation #LifeLessons #HekimaYaMaisha #Motivation ##Inspiration #Faith #Tanzania #Kenya #Uganda #Rwanda #Burundi #YouTubeTanzania #Semina #Mahubiri