UHURU WA DINI BY EV DONALD ORINA 25TH JANUARY 2025 KISII CENTRAL
donald orina
0:00 / 0:00
UHURU WA DINI BY EV DONALD ORINA 25TH JANUARY 2025 KISII CENTRAL
96 просмотров · 1 г. назад
donald orina
775 подписчиков
96 просмотров · 1 г. назад
Uhuru wa dini ni mojawapo kati ya haki za msingi za kila binadamu kutokana na hadhi yake inayomtofautisha na wanyama. Yaani akili yake inamfanya atafute ukweli, jambo linalohitaji kuwa huru kutoka kwa mwingine yeyote.
Uhuru huo unaendana na wajibu na haki ya kufuata dhamiri hasa katika masuala ya dini na maadili.