Перейти к содержимому

ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Huko Yanga ni mwendo wa bleach tu kama Selemani Mwalimu

Azam TV

0:00 / 0:00

ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Huko Yanga ni mwendo wa bleach tu kama Selemani Mwalimu

5 929 просмотров · 14 часов назад
Azam TV
3,3 млн подписчиков
5 929 просмотров · 14 часов назад
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mashabiki wa Yanga wameamua kuweka ‘bleach’ na kuongea Kichina. Wachambuzi Michael Hyera Iddy Nonga na Sharif Bayona wakichambua Kichina chao. Mtangazaji Ibra Kasuga asema tusubiri Jumamosi ya Septemba 12, 2026 kuona mambo yatakuwaje kwenye mechi ya mkondo wa pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United. Ni #Zilizobamba mitandaoni kupitia #Viwanjani #Viwanjani #Zilizobamba